Jumanne, 29 Novemba 2016
UMUHIMU WA UTOAJI SADAKA KIROHO NA KIMWILI PIA
GLORY BE WITH YOU OUR LORD JESUS CHRIST
By. Mwalimu
Israel Kessy
Jumanne, 27 Septemba 2016
Bwana Yesu Kristo asifiwe ndugu katika Kristo Yesu.
Wapendwa Imempendeza Mungu leo tuangalie kwa kifupi nini maana ya wokovu.Mungu atusaidie na ayafungue masikio yetu ya ndani ili tuelewe na neno hili.Roho ambaye ni mwalimu wa kweli na atusaidie
Sasa tutaenda kwa mtiririko huu
1.WOKOVU NI NINI?
kwa lugha nyepesi kabisa na ya kawaida,wokovu ni hali ya kutoka katika hatari au hali mbaya au mabaya kuingia ktk mema.hiyo ni lugha nyepesi kabisa ambayo mtu yeyote anaweza kuelewa,
Wokovu kibiblia ni:HALI YAKUHAMISHWA TOKA UFALME WA GIZA NA KUPELEKWA KATIKA KATIKA UFALME WA MUNGU,KATIKA NURU NA KUWA NURU KWELI KWELI,NI KUACHA DHAMBI KUMKIRI NA KUMKUBALI YESU KRISTO HUKU UKIAMINI KUWA YESU NI BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YAKO. "kwa sababu ukimkiri Yesu kwa kinywa chako yakuwa ni BWANA na kuamini moyoni mwako yakuwa Mungu alimfufua katika wafu,utaokoka,kwa maana kwa moyo mtu huamini hata kupata Haki na kwa kinywa hukiri hata kupata wokovu" (warumi 10:9&10)
Hapo tunaona yakuwa wokovu ni jambo lakiimani,,pasipo imani mtu yeyote hawezi kuokoka na sio tu kuokoka Bali hata kumpendeza Mungu.biblia inasema "wala pasipo imani haifai kumpendeza Mungu"
Kwahiyo wokovu ni kuhamishwa(kiroho) kutoka ufalme wa giza(yaani chini ya milki ya ibilisi shetani)na kuletwa katika ufalme wa NURU(yaani wa Mungu katika furaha,Amani na kushinda daima),kufa na kufufuka katika Kristo(na hapo hatuwi tena sisi Bali Kristo ndani yetu nguvu ya msalaba) ".........................maana kwa kule kufa kwake,aliifia dhambi mara moja tu; lakini kwa kule kuishi kwake,amwishia Mungu,vivyo hivyo nanyi jihesabuni kuwa wafu kwa dhambi na walio hai kwa Munguvkatika Kristo Yesu.
Baada ya kuona kidogo maana ya wokovu sasa basi na tuelekee kipengele cha pili kuangalia je wokovu tukiupata ukiwa ndani mwetu utatusaidia nini? Karibu tuende pamoja
2.WOKOVU UNATUSAIDIA NINI?
Wapendwa wengi sana ukiwauliza leo wokovu unawasaidia nini wengine watakuambia unawasaidia kwenda mbinguni tu na wengine watakuambia ni njia yakujipatia kitu fulani has a Mali na vitu vifananavyo na hivyo,
pamoja na kwamba wokovu hutusaidia mambo mengi sana ila wacha tuone mambo makuu ambayo tunayapata tukiwa na wokovu
WOKOVU HUTUSAIDIA MAMBO MAKUBWA MAWILI (2 main things)
- Ni tiketi (ticket) ya kwenda mbinguni (Yohana 14:6,Tito 3:7)
- Hutusaidia kuishi maisha ya furaha na maisha ambayo Mungu ametupangia kuishi katika kusudi lake hapa duniani.(ebrania 4:16)
1.NI TICKET YA KWENDA MBINGUNI
Tokea mwanzo Mungu alimuumba mwanadamu ili awe karibu naye,ili azungumze naye wazi,ili amuone waziwazi, lakini kutokana na dhambi aliyoifanya Adam katika bustani ya Eden ilimfanya Mungu awe mbali na wanadamu,dhambi ile iliufanya ulimwengu wote uwe chini ya laana ya dhambi ambayo hadi leo inausumbua ulimwengu, ndugu zangu napenda mjue hili,hata kama mtu anatenda mema kwa namna gani hawezi kusema ataenda mbinguni,hii ni kwa sababu mbinguni hatuendi kwa haki ipatikanayo kwa matendo yakisheria,la! Bali kwa imani kisha haki tuipatayo kwa NEEMA ya Kristo Yesu.hakuna namna ambavyo unaweza kuingia mbinguni kama unategemea kwa matendo yako ndugu ila ni kwa kukiraribia kitu cha neema tu nyakati zote,wala sisi tuliookoka tusijisifu kwa kuwa tumeokoka,Bali tuzidi kukisogelea hicho kiti cha Rehema na neema "KWA MAANA MMEOKOLEWA KWA NEEMA,KWA NJIA YA IMANI AMBAYO HIYO HAIKUTOKANA NA NAFSI ZENU ILA NI KIPAWA CHA MUNGU.WALA SI KWA MATENDO MTU YEYOTE ASIJE AKAJISIFU" (waefeso 2:8&9) HALLELUYA..ndugu hakuna fahari kama hii yakukombolewa,maanake sio tu kwamba tunashinda katika ulimwengu huu ila pia tunazo ahadi za kuingia katika ufalme wa Mungu katika kutawala pamoja na Kristo baada ya dhiki za hapa.
Wakati mwingine tutaendelea na kipengele cha pili, Ila kwa sasa chukua hatua hii muhimu kwa kufuatilia kwa makini maneno haya muhimu hapa chini.
Ndugu zangu wokovu si kitu cha kudharau wala kusema nitasubiria kesho au wakati mwingine maana hatuijui sekunde moja ya maisha yetu yajayo itakuwaje,Fikiria leo upo kesho haupo,leo unaishi kesho mwili umeacha roho,utaelekea wapi?Biblia inasema zipo hatima mbili, jehanamu na Paradiso ya milele,hakuna sehemu nyingine,je? wewe utapenda kwenda Jehanamu? naamini jibu litakuwa hapana kabisa,Kama usingependa kwenda jehanamu INA maana ungependa kwenda MBINGUNI,hivyo ni vyema kutengeneza mambo yako sasa,
KAMA UPO TAYARI KUOKOKA FUATISHA MANENO HAYA NA CHUKULIA KWA IMANI KUWA NIWEWE UNAYASEMA TOKA MOYONI NA YESU ACHUNGUZAYE MIOYO ATAKUOKOA
SEMA:ee Mungu baba, ninakuja kwako,mimi mwenyewe dhambi,ninaungama mbele zako dhambi zangu zote nilizozifanya,nakuja mbele za kiti chako cha neema nakusihi unisamehe na kunipa rehema.naomba ufute jina langu katika kitabu cha hukumu na kuandika jina langu katika kitabu cha uzima, asante Yesu kwa kuniokoa na kunifia pale msalabani,nipe kukujua wewe,nitembee ndani yako sikuzote,dhambi isinishinde,shetani asinishe,nidumu ndani yako siku zote za maisha yangu.
Ameen.
Umefanya uamuzi wa busara sana hii leo.Mungu wa mbinguni akutunze siku zote za maisha yako.2Timothy 4:18 biblia inasema ivi "Bwana ataniokoa na kila neno baya na kunihifadhi hata nifike ufalme wa MBINGUNI. Mungu akuhifadhi ndugu hata ufike salama
Neema na iwe pamoja na wote wampendao Bwana wetu Yesu Kristo katika hali ya kutokuharibika
By
Mwalimu Israel Kessy
Phone number 0783_872656
e_mail address israelkessy@gmail.com
Facebook Israel Kessy (mwalimu Kessy)
Ijumaa, 19 Agosti 2016
HUKUMU YA SIKU ZA MWISHO PAMOJA NA UHALALI WA UENDAPO
Menu
O————————————– BAADA YA KUOKOKA,TAFUTA UTAKATIFU
A————————————————————————————– — YOHANA 17:17 & WAEBRANIA 12:14
KITI CHA ENZI KIKUBWA CHEUPE CHA HUKUMU
SOMO: KITI CHA KIKUBWA CHEUPE CHA HUKUMU
( UFUNUO 20:11-15 )
Baada tu ya vita vya Gogu na Magogu vitakavyofanyika mwishoni mwa miaka elfu moja ya Utawala wa Yesu Kristo duniani, kutafuata ufufuo wa pili unaoitwa pia ufufuo wa Hukumu ( YOHANA 5:28-29 ) . Huu ni ufufuo wa wale waliotenda mabaya, yaani wote wenye dhambi waliokufa pasipo utakatifu, tangu nyakati za mwanzo kabisa za vizazi vya Adamu hadi wale wote watakaoliwa na moto kwenye Vita vya Gogu na Magogu (UFUNUO 20:7-9 ) . Hawa wote baada ya kufa kwao wamekuwa katika kipindi chote hicho kwenye mateso makali Jehanum ya moto . Hawa, watafufuliwa na kuirudia miili yao ya asili na kusimama mbele ya Kiti cha Enzi Kikubwa Cheupe cha Hukumu . Ili tuelewe yale yatakayofanyika hapa, tutaligawa somo letu katika vipengele saba.
( 1 ) HAKIMU ATAKAYEKALIA KITI CHA ENZI KIKUBWA
CHEUPE CHA HUKUMU
( 2 ) MAKUSUDI YA HUKUMU YA KITI CHA ENZI KIKUBWA
CHEUPE
( 3 ) WINGI WA WATU WATAKAOHUKUMIWA
( 4 ) WADOGO PIA KUHUKUMIWA
( 5 ) KIPIMO KITAKACHOTUMIWA KATIKA HUKUMU
( 6 ) KUFUNULUWA KWA SIRI ZOTE MBELE YA MASHAHIDI
WA MUNGU
( 7 ) HUKUMU YA MWISHO
( 1 ) HAKIMU ATAKAYEKALIA KITI CHA ENZI KIKUBWA CHEUPE CHA
HUKUMU
Hakimu atakayekikalia kiti hiki ni Yesu Kristo . Yeyote leo anayemkana Yesu Kristo kuwa siyo mwana wa Mungu , atafahamu hapa kwamba hukumu yote iko chini yake ( YOHANA 5:22 ; MATENDO 10:38-41; 17:31; WARUMI 2:16; 2TIMOTHEO 4:1 ). Ni heri kufahamu mapema hivi leo kwamba Yesu ndiye hakimu na kuomba msamaha kwake, yeye yuko tayari kulehemu na kusamehe kabisa ( ISAYA 55:6-7 ). Yesu atakapokikalia kiti cha enzi kikubwa cheupe atakuwa mwenye hasira, huruma itakuwa mbali naye kabisa ( EZEKIELI 7:4; 8:18; WARUMI 2:4-5 ).
( 2 ). MAKUSUDI YA HUKUMU YA KITI CHA ENZI KIKUBWA CHEUPE.
Hukumu hii, haitakuwa na makusudi ya kuwaweka huru wenye dhambi fulani fulani. Ilivyo ni kwamba yeyote yule asiyemwamini Yesu Kristo hadi kufa kwake, ghadhabu ya Mungu inamkalia ( YOHANA 3:36 ). Mtu yeyote mwenye dhambi anapokufa, huenda motoni moja kwa moja. Mtu huyu huenda motoni bila kuelezwa ni kwa nini anapelekwa kwenye mateso hayo. Makusudi ya hukumu hii itakuwa ni kumfahamisha kila mmoja aliye katika mateso ya Jehanamu uhalali way eye kupewa adhabu hiyo ya milele. Itadhihirishwa kwa kila mmoja mmoja kwamba adhabu ya moto wa milele ni malipo halisi aliyopata kadri ya matendo yake ( WARUMI 2:6 ). Yesu hapa atasimama kama mhukumu wa haki ( MATENDO 17:31 ).
( 3 ). WINGI WA WATU WATAKAOHUKUMIWA
Watu wanaokwenda Jehanum ni wengi sana kuliko wengi wanavyofikilia ( MATHAYO 7:13-14 ). Mbinguni kuna vitabu vya aina mbili, kitabu cha uzima ambamo huandikwa majina ya wale waliookoka ambao hudumu kutenda mapenzi ya Mungu ( LUKA 10:20; WAFILIPI 4:3 ). Wale waliookoka wasiodumu kutenda mapenzi ya Mungu, hufutwa majina yao na kuondolewa katika kitabu mbali na wokovu, majina yao yamo katika vitabu vya kumbukumbu, vitabu vya hukumu. Kwa kuwa watu hawa ni wengi sana, majina yao yako katika VITABU VINGI, lakini wale wa mbinguni wako katika KITABU KIMOJA CHA UZIMA ( UFUNUO 20:12 ). Hatupaswi kudanganyika kutokana na watu wengi wanaosema wameokoka huku maisha yao hayako nuruni na kufikiria kwamba wote hawa wataingia mbinguni. Gharika iliwaangamiza watu wote duniani na kubakiaWANANE TU walioingia safinani. Viwango vya Mungu vya utakatifu havibadiliki ( MATHAYO 5:48; 1PETRO 1:15-17; WAEBRANIA 12:14 ).
( 4 ). WADOGO PIA KUHUKUMIWA.
Wakubwa kwa wadogo, watakuwepo kwenye hukumu hii ( UFUNUO 20:12 ). Ni muhimu kuwashuhudia injili watoto wetu wadogo walio na akili ya kujua mema na mabaya, na kuwapa nafasi ya kutubu, na kuokolewa; au sivyo, tutahuzunika kuwaona wakiwa kwenye hukumu hii, wakiwa wametoka kwenye mateso ya moto. Mtoto mdogo mwenye uwezo wa kufahamu hesabu ya59 + 68 ana upeo mkubwa wa kufahamu mema na mabaya. Katika injili yetu kwa watoto wa jinsi hii, tunatakiwa kutaja dhambi wanazoweza kuzielewa. Wizi wa kalamu, uongo, kutokuwatii na kuwaheshimu wazazi n.k, baada ya mtoto kumwamini Yesu, huongozwa sara ya Toba. Baada ya hapo, fahamu kuwa ameokoka na endelea kumfundisha bila kubabaishwa na mambo ya kitoto anayofanya siku kwa siku. Ni muhimu kukumbuka kwamba ni watoto wadogo kabisa wasioifahamu sheria ambao ufalme wa mbinguni ni wao. Wengi wao huwa bado wana umri wa kukumbatiwa ( MARKO 10:13-16; WARUMI 4:15; 5:13 ).
( 5 ). KIPIMO KITAKACHOTUMIWA KATIKA HUKUMU.
Watu wengi wanafanya makosa makubwa pale wanapofikiria kwamba, watakwenda mbinguni kutokana na kufanya mambo yaliyo sana na mafundisho ya madhehebu yao au mchungajiwao.Hiki siyo kipimo kitakachotumiwa na Yesu katika hukumu. Wengi wanaojifariji kwa kutenda yaliyo halali kwa wachungaji wao au madhehebu yao, ingawa yako tofauti na maagizo ya Neno la Mungu; watakwenda katika mateso ya moto wa milele. Kipimo atakachotumia Yesu katika hukumu ni NENO LA MUNGU au INJILI ( WARUMI 2:16 ). Ni muhimu kuyalinganisha yale tunayoyafanya na Neno la Mungu na siyo mafundisho ya madhehebu yetu au Wachungaji na Maaskofu wanaotuambia kufanya hili na lile siyo lazima ( ZABURI 119:6, 9 ). Siyo hilo tu, kipimo cha Yesu katika hukumu kitakuwa Neno la Mungu. Wale ambao hawakuwa na Biblia kijijini kwao, wale ambao walikuwa mahali pasipokuwa na mafundisho, wale ambao walikatazwa na wazazi wao kuwa Wakristo, wote hawa watapotea pasipo kuifahamu sheria.. Kukosa kufahamu yaliyo halali siyo udhuru utakaokubalika. Wale wanaoyafahamu mafundisho lakini hawayatendi waon pia wataangamia pamoja na kuyajua hayo ( MAMBO YA WALAWI 5:17; WARUMI 2:11-14 ). Mungu anamtarajia kila mwanadamu kuyatafuta mafundisho ya kweli hata iwe mbali kiasi gani kama alivyo tayari kufuata elimu Ulaya au biashara nchi za nje ( MATHAYO 12:42 ).
( 6 ). KUFUNULIWA KWA SIRI ZOTE MBELE YA MASHAHIDI WA MUNGU.
Mmojammoja atasimama mbele ya kiti hicho cha Enzi kikubwa cheupe. Mahali hapo itakuwa ni aibu na kudharauliwa ( DANIELI 12:2 ). Kila mmoja ataonyeshwa matendo yake, maneno yake, mawazo yake na nia yake kwa mfano wa VIDEOiliyotuzwa kumbukumbu zake. Siri zote za wanadamu zitakuwa wazi hapo ( AYUBU 20:27; METHELI 26:26; MHUBIRI 22:14; LUKA 12:2; 1WAKORINTHO 4:5; WARUMI 2:16 ). Mahali hapo utawaona wahubiri wazinzi. Kila kitu kitaonyeshwa WAZIWAZI. Hatua zote za mtu kumshawishi mwanamke wa mtu hadi kuingia naye nyumba ya kulala wageni na kufanya uchafu wote, vyote vitaonyeshwa hapo mbele ya wote. Maneno yote ya mtu anayoyatamka, yatawekwa wazi hapo, na kwa kila neno mtu atahukumiwa ( MATHAYO 12:36-37 ). Mtu aliyekuwa anahudhuria mikutano ya injili bila kukata shauri kuokolewa, atajiona picha yake akiwa katika mikutano hiyo na wakati akirudi nyumbani atajiona anasema “siwezi kuokoka”. Wala walioshindwa kufanya hili na lile kwa visingizio kuwa ni wanajeshi, ni vijana wadogo n.k watawaona mashahidi wa Mungu walioyafanya waliyoyakataa wakiwa na hali zao. Watakatifu watakuwepo kuona kila mtu na kuwa mashahidi wa Mungu ( WAEBRANIA 12:1; MATHAYO 12:42; MALAKI 3:18; 4:1-2 ).
( 7 ). HUKUMU YA MWISHO.
Watu watajitetea kwa kilio hapo na kisema “mimi nilifanya miujiza kwa jina lako”, “mimi nilitoa pepo kwa jina lako”, mimi nilishuhudia na kufuatilia n.k, na Yesu atasema sikuwajua ninyi; ondokeni kwangu, ninyi mtendao maovu ( MATHAYO 7:22-23 ). Kila mtu atatolewa hapo na kukamatwa kwa nguvu kisha atatupwa kwenye ZIWA LA MOTO.Ziwa la moto ni tofauti na kuzimu au Jehanum. Ziwa la moto kwa sasa halina mtu ndani yake. Wa kwanza kutupwa humo watakuwa Mnyama au mpinga Kristo na nabiii wa uongo ( UFUNUO 19:20 ). Kisha atafuata Shetani ( UFUNUO 20:10 ). Mateso ya ziwa la moto ni mazito zaidi kuliko Jehanum. Mauti au kifo ni Jehenum ya sasa, vyote pia vitatupwa katika ziwa la moto pamoja na wenye dhambi wote ( UFUNUO 20:14-15, 21:8 ). Hapo itakuwa “kwaheri ya kutokuonana tena” kwa wenye dhambi na watakatifu.
,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
Mpendwa msomaji, baada ya kusikia yote haya kutoka kwa nabii aliyetumwa kukuletea ujumbe huu, usifanye moyo wako kuwa mgumu. Hii ni nafasi ya kipekee ya kuokoka. Je, unajuaje kama utaamka kitandani baada ya kulala usiku wa leo? Wakati uliokubalika wa wokovu ni sasa (2 WAKORINTHO 6:2). Labda utaniuliza, ili uokoke, ufanyeje? Jibu ni rahisi, kwa imani ukitubu dhambi zako kwa kumaanisha kuziacha, na kumwambia Yesu Kristo akusamehe, utasamehewa sasa hivi, na msamaha wa dhambi, huambatana na wokovu (LUKA 1:77). Je, uko tayari kuokoka sasa hivi? Najua uko tayari. Basi fuatisha sala hii kwa dhati toka moyoni, “Mungu baba asante kwa kuniletea ujumbe huu.Natubu dhambi zangu zote, kwa kumaanisha kuziacha. Yesu Kristo nakuomba unisamehe dhambi zangu na kunipa uwezo wa kushinda dhambi na kuniokoa kutoka katika mateso ya moto wa milele. Asante, kwa kuniokoa katika Jina la Yesu. Amen”. Tayari sasa umeokoka, na kwa hakika unakwenda mbinguni sasa, hata ukifa leo. Ili uzidi kuukulia wokovu, hakikisha unahudhuria mafundisho katika Kanisa linalohubiri wokovu. MUNGU AKUBARIKI !!!
Masomo ya matukio ya mwisho wa Dunia. Unaweza kuingia kwenye link ya kila somo.
1. KUNYAKULIWA KWA KANISA
https://davidcarol719.wordpress.com/2013/01/02/kunyakuliwa-kwa-kanisa/
2. DHIKI KUBWA
https://davidcarol719.wordpress.com/dhiki-kubwa/
3. TAJI KWA WATAKATIFU NA HARUSI YA MWANAKONDOO
https://davidcarol719.wordpress.com/2013/02/10/taji-kwa-watakatifu-na-harusi– ya-mwanakondoo/
4. KUJA KWA YESU KRISTO MARA YA PILI DUNIANI NA VITA VYA HAR-MAGEDONI
https://davidcarol719.wordpress.com/2013/02/10/kuja-kwa-yesu-kristo-mara-ya-pili-duniani-na-vita-ya-har-magedoni/
5. MIAKA 1,000 YA UTAWALA WA YESU KRISTO DUNIANI NA VITA VYA GOGU NA MAGOGU
https://davidcarol719.wordpress.com/miaka-1000-ya-utawala-wa-yesu-kristo-duniani-na-vita-vya-gogu-na-magogu/
6. UFUFU WA WAFU
https://davidcarol719.wordpress.com/187-2/
7. JEHANUM YA MOTO
https://davidcarol719.wordpress.com/jehanum-ya-moto/
8. KITI CHA ENZI KIKUBWA CHEUPE CHA HUKUMU
https://davidcarol719.wordpress.com/?s=KITI+CHA+ENZI+KIKUBWA+CHEUPE+CHA+HUKUMU
9. MBINGU MPYA NA NCHI MPYA
https://davidcarol719.wordpress.com/mbingu-mpya-na-nchi-mpya/
. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .
Zipo Baraka nyingi kwa yeyote atakaye “share “ ujumbe huu katika Facebook, Twitter n.k kwa ndugu, jamaaa na marifiki ili nao wapate nafasi ya kusoma ujumbe huu na kubarikiwa kama wewe ulivyo barikiwa. Kwasababu hii share ujumbe huu kwa kubonyeza neno“ share” lililopo chini ya “note” hii, kwa kufanya hivyo ujumbe huu utafika kwa watu wengi. Hakika, Baraka za Mungu zitakuwa nawe.
UBARIKIWE SANA KWA KAZI YAKO NJEMA
Share this:
Leave a Reply
Your email address will not be published. Required fields are marked *
Comment
Name*
Email*
Website
Notify me of new comments via email.
Recent Posts
THE REVIVALIST TO THE NATIONS, BISHOP ZACHARY KAKOBEUSHUHUDA WA MAONO YA JEHANAMU NA YERUSALEMU MPYA WA NYISAKI CHAULAAMANI YA KRISTO IAMUE MIOYONI MWENUSAUTI YA MUNGUKUJA KWA YESU KRISTO MARA YA PILI DUNIANI NA VITA YA HAR-MAGEDONI
Archives
February 2014December 2013May 2013February 2013January 2013
Categories
Meta
RegisterLog inEntries RSSComments RSSWordPress.com
By
Mwl Israel Kessy
From
Mch Kakobe
Alhamisi, 18 Agosti 2016
Kweli
Menu
O————————————– BAADA YA KUOKOKA,TAFUTA UTAKATIFU
A————————————————————————————– — YOHANA 17:17 & WAEBRANIA 12:14
KITI CHA ENZI KIKUBWA CHEUPE CHA HUKUMU
Neno la Uzima kutoka kwa Askofu Zachary Kakobe
Tovuti : www.bishopzacharykakobe.org
Facebook :www.facebook.com/bishopkakobeministries
Youtube :www.youtube.com/user/bishopkakobe
SOMO: KITI CHA ENZI KIKUBWA CHEUPE CHA HUKUMU

RegisterLog inEntries RSSComments RSSCreate a free website or blog at WordPress.com.
Jumanne, 5 Aprili 2016
MIZIMU NA NAMNA YAKUISHINDA
- Atom
Luka 12:40 - Nanyi jiwekeni
tayari, kwa kuwa saa msiyodhani
ndipo ajapo Mwana wa Adamu.
Maisha ya ushindi
▼
By mwl israel kessy
KUFUNGULIWA KUTOKA ROHO
ZA MIZIMU
Mizimu (family spirit) ni mapepo
yaliyotokana na malaika walioasi
pamoja na shetani ambayo watu
waliyafanya kama ndugu kutoka
kizazi hadi kizazi.
Mizimu no roho za shetani
ambazo ni chukizo kwa MUNGU
Kumbukumbu 18:9-12
''Utakapokwisha kuingia katika nchi
akupayo BWANA, MUNGU wako
usijifunze kutenda kwa mfano wa
machukizo ya mataifa yale.
Asionekane kwako mtu ampitishaye
mwanawe au binti yake kati ya
moto, wala asionekane mtu
atazamaye bao, wala mtu
atazamaye nyakati mbaya, wala
mwenye kubashiri, wala msihiri,
wala mtu alogaye kwa kupiga
mafundo, wala mtu apandishaye
pepo, wala mchawi, wala mtu
awaombaye wafu. Kwa maana mtu
atendaye hayo ni chukizo kwa
BWANA; kisha ni kwa sababu ya
hayo BWANA, MUNGU wako,
anawafukuza mbele
yako.'' yanayozungumza hapo
tuliposoma ni kuwahusu
WAGANGA WA KIENYEJI,
WACHAWI, WANAJIMU,WASIHIRI
NA WANAOWAOMBA WAFU,
mambo ambayo yote ni
machukizo kwa MUNGU na wote
hawa wanatumia mizimu
kufanikisha mambo yao na kwa
wale wanaomba maiti(wafu)
hawa wanaomba mizimu hivyo
wanahusika moja kwa moja na
mizimu maana mtu aliyekufa
hawezi kamwe kukusikia na hata
kama anakutokea usiku tambua
tu kwamba ni mizimu ambayo ni
majini yanavaa sura ya ndugu
yako na kuja kwako na kumbuka
kuwa jini anaweza kuiga kila kitu
kuanzia sauti hadi sura na kwa
sababu shetani anataka umkosee
MUNGU wako kwa kumtii yeye,
atakuambia mambo mengi ya
kufanya,
Yupo mama mmoja alikua
anatokewa na mama yake na
kumwambia kwamba '' siku hizi
umenisahau kabisa hata
kaburi langu hufagii hivyo
kesho asubuhi sana
kafagie na unyunyuzie
damu ya kuku juu ya
kaburi langu .jambo hilo
lilipelekee yule mama
kwenda kwa mganga wa
kienyeji na
kumbuka kuwa hakuna
mganga wa kienyeji
asiyetumia mizimu.
a kajikuta anahusika na mabo
mabaya zaidi hadi kumua mtoto
wake maana yule mzimu alianza
kwa kutaka damu ya kuku baadae
anataka kafara ya damu ya mtoto
wa yule mama maana ilifika
kipindi vitisho vikawa vyingi na
kwa sababu mama yule
alishaingia maagano na mizimu
ile kwa kutii maelekezo ya
kwanza akaanza kupata shinda
sana na akaambiwa atapata
mikosi maisha yake yote na hali
hiyo ikapelekee kuua mtoto wake
na cha ajabu shetani alimtumia
yule mganga wa kienyeji
kuongeza vitisho kwa mama na
kutoa ushauri wa kumwua mtoto.
Ndugu zangu jina la YESU
KRISTO pekee linaloweza
kuondoa mizimu maishani
mwako hivyo kama
unasumbuliwa na mikosi ya
ukoo, mizimu ya ukoo, utasa au
magonjwa ya ukoo basi kimbilia
kwenye maombezi katika kanisa
la kiroho karibu na wewe na
utafunguliwa na kuwa salama
kabisa mbali na laana zote za
ukoo na mashariti ya kishetani.
na katika BIBLIA kitambu cha
Mambo ya walawi 19:4 inasema
''Msigeuke kuandama sanamu, wala
msijifanyizie miungu ya kusubu
mimi ndimi BWANA, MUNGU
wenu .'' ndugu moja ya miungu
ambayo wanadamu wanaiabudu
ni mizimu na kumbuka kwamba
waganga wa kienyeji wanatumia
mizimu katika kazi zao na ndio
maana mama mmoja ambaye
sasa ameokoka alikua mganga
wa kienyeji zamani aliwahi
kuniambia kuwa kama mgojwa
mwenye majini akija kwake
kutibiwa yeye anachofanya
anaongeza majini ndani ya
mgojwa na kumpa mashariti ya
kufanya ili abaki mzima na moja
ya mashariti hayo alikua
anawaambia wateja kurudi kwake
kila baada ya miezi mitatu maana
anajua muda wa majini kutaka
ndamu umefika na kila mteja
akija lazima aje na kuku mwenye
rangi moja kama ni mweupe awe
mweupe pote na kama ni mweusi
awe mweusi pote.Katika 1
Samweli 28:7 BIBLAI inasema
''Ndipo Sauli akawaambia
watumishi wake, Nitafutieni
mwanamke mwenye pepo wa
utambuzi, nipate kumwendea na
kuuliza kwake. Watumishi wake
wakamwambia, Tazama, yuko
mwanamke mwenye pepo wa
utambuzi huko Endori.'' Huyu Sauli
alikua ni mfalme wa taifa la
Israel ambaye aliamua kuwafuata
waganga wa kienyeji na kitendo
hicho kilikua ni machukizo
makuu kwa MUNGU na kupelekea
kunyang'anywa ufalme akapewa
Daudi na huyo sauli akafa vitani
na jambo lile wa kwenda kwa
waganga liliongeza balaa kwa
taifa badala ya kupunguza .
Ndugu please please usikubali
kwenda kwa waganga wa kienyeji
wala usoma nyota maana
watakupoteza na utakua mbali
sana na MUNGU wako
aliyekuumba na hakika kwa
kitendo hivyo utakua
unajichimbia shimo mwenyewe.
ni hrei kumpelekea BWANA YESU
shida zako na yeye ni mwaminifu
na wa haki atakuponya na utakua
huru daima maana amesema
katika Mathayo 11:28 kwamba
'' Njoni kwangu, ninyi nyote
msumbukao na wenye kulemewa na
mizigo, nami nitawapumzisha''
MUNGU akubariki sana wewe
usiye na mizimu maishani mwako
maana ulimpa BWANA YESU
maisha yako na ukatengwa mbali
na mizimu ya ukoo ambao ipo
katika kila mtu ambaye
hajasafishwa kwa damu ya YESU
maana mizimu hiyo ipo tangu
kizazi na kizazi na mambo mengi
yanawapata ukoo fulani fulani tu
kwa sababu ya mizimu, ukielewa
hivyo chukua hatua kwa kumpa
YESU maisha yako na utakua
huru pia utakua ufunguo katika
ukoo wetu kuwafukuza mizimu ya
mababu ambayo imeleta balaa
kubwa katika maisha. maana
wapo watu wao wanajifahamu ni
watu wasio na akili shuleni yaani
ukoo mzima hakuna anayeweza
kufauli kwenda sekondari na
hawajui tatizo ni nini lakini
kumbe tatizo ni mizimu ya ukoo.
MUNGU akubariki na somo
litaendelea kwa kuangalia
mambo 6 kuhusu mizimu.