As you read this be blessed in the might name of Jesus Christ
Maisha ya mwanadamu kaumbiwa kuishi hapa duniani mara moja tuu na baada ya hapo ni kifo.baada ya kifo ni hukumu.ktk hukumu ndugu zangu kunaawili kuhukumiwa na kwenda jehanamu au kuurithi uzima wa milele pamoja na Yesu Christo paradiso.umejiandaaje kwa maisha haya hapa duniani ndugu yangu?
Pia wapo wengine wasemao kuokoka ni ushamba na kutokwenda na maisha ya kisasa.mi nawakanusha kabisa.maana Mungu alitupa kushinda na zaidi yakushinda,akatupa nguvu yakupata utajiri ambapo hiyo nguvu ndiyo yeye mwenyewe kumb 8:18 inaonyesha kuwa yeye ndiye atupaye nguvu yakuupata utajiri maanake kama maisha ya utajiri yangekuwa batili mbele ya Mungu basi moja kwa moja MUNGU ASINGE TUPA NJIA ZA KUUPATA UTAJIRI KAMA ASEMAVYO.ila yeye mwenyewe atupaye utajiri ndiye Mungu atuwezeshaye ktk yote hapa duniani na hat Mbinguni.swali muhimu kwako hapa ni JE?WAWEZA KUOKOKA NA BADO UKAWA NA MAISHA BORA KWA MAANA YA UTAJIRI?

Posted and prepared by mwl Israel Kessy
Cal for counselling&prayer
0759-627065
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni